Messages from the Word of God by Br. David Nelson, Evangelist
Available bi-monthly on cassette or CD.
All materials free as the Lord provides.
Messages from the Word of God by Br. David Nelson, Evangelist
Available bi-monthly on cassette or CD.
All materials free as the Lord provides.
© 2010 Hakuna upendo mkubwa kwa huduma
UKOMBOZI
1 Petero 1:13-21
Ujumbe wetu unaweza kupatikana katika kitabu cha petero mlango wa
kwanza. Nawaalika mwanza kusoma na mimi kwenye kifungo cha kumi na tatu na
musome hadi kifungo cha ishirini na moja. Somo linasema tayarisheni mawazo kwa
jambo lolote kwa kuwa tayari kwa kuweka tumaini kwa mwisho wa rehema ambayo
italetwa wakati wa ufunuo wa Yesu kristo;Kama watoto msidandanye kwa kujua
tamaa iliyopita .Lakini aliyekuita ni mtakatifu kwa hivyo uwe mtakatifu kwa
mazungumzo kwa sababu imeandikwa kuwa mtakatifu kama vile mimi ni
mtakatifu.Na ukiita Baba Yule ambaye anahukumu kulingana na matendo yako tenda
kwa uwoga maisha yako yote gerezani kwa kuwa unajua bado haujakombolewa kwa
vitu visivyo halali kama shahada na dhahabu hutokana na maelezo hasiyo fanikiwa
yanayochukuliwa na utamaduni kutoka kwa akina baba wenyu. Lakini kwa damu ya
Yesu kristo kama kondoo isiyo na alama ama dosari. Alijulikana kabla ya kuumbwa
kwa dunia lakini alishuhudiwa siku za mwisho. Ni kwa njia yake tunaamini Mungu
aliyemfufua kutoka kwa kifo na kumpatia sifa,kuwa amani na matumaini yaweze kuwa
kwa Mungu.
Tuwekeni roho zetu pamoja Kwa maombi tuulize mungu abariki somo na
mahubiri ya neno lake. Baba yetu aliye binguni,tunakuja mbele zako kukueleza
tunataka usaidizi wako. Nataka usaidizi wako kwa kuhubiri neno lako kwa njia
ambayoitakupendeza machoni mwako .Wale ambao wanasikiliza ,Baba,wanahitaji
msaada wako waelewe na kutimiza neno lako. Tunakungoja mbele yako na tunaomba
utaingia kwa roho zetu sanasana kwa wale ambao hawajui uwokovu wako.Heri iwe
siku hii,heri iwe wakati huu watakao kulilia. Tunakurudishia shukurani kwa wataki
huu,na tunakuomba utukuzwe.Tuanaomba katika jina la Yesu kristo .Amina
Kuna ukweli mwingi mzuri kwa ujumbe huu ambao utasaidia kutia
maanani kila mlango una mahali mwingi ambayo inahitaji masomo. Nataka tutie
maanani sanasana kwenye kifungo cha kumi na nane na kumi na tisa na tuangalie
mada ya ukombozi . Bibilia ina maneno mengi kihusu uwokovu. Maneno machache ya
maneno haya ni kuokoka,uhai usamehevu,utoshelezi na uwokovu.Ukombozi ni neno
lingine kubwa kwa maneno haya. Maneno haya yote yanatofatiana katika
uwokovu.Nimepata kuwa watu wengi hizitumia bila kujua maana zao vilivyo kivyao.
Mara nyingi tunahisi vibaya kwa kuyabadilisha kwa kutojua tofauti baina yao.
Tunahitaji kusoma tujue maana ya kila neno.Hii itatupatia kuelewa vizuri vile mungu
ametufanyia .Baadaye tunaweza kushika upendekezo wa rehema yake.Ukombozi ni
mojawapo wa mada zinazopendekeza zinazopatikana katika bibilia .Maelezo ya bibilia
yanaweza kumalizika kwa wazo mbili rahisi.Wazo la kwanza ni uharibifu .Hii ndiyo
ilivyotendeka kwa binadamu ambapo dhambi ilivyo ingia. Wazo la pli ni ukombozi .Hii
ni ileYesu angetenda kwetu kwa damu iliyomwagika msalabani.
Kuna mahali matatu ambayo ninataka kupitia kwa ujumbe huu tukijaribu
kuingilia ndani kwa mada hii. Kwanza tunazugumzia picha ya ukombozi.Ni nini
inakuja kwa akili zetu wakati ukombozi unaogelelewa. Ya pili ni ukombozi nitaeleza
bei kama unaenda kukombolewa lazima kuwe na pesa tunayolipa .Ya mwisho nitaeleza
kuagiza.Ni nini bibilia inatufunza kuhusu wale ambao wamekombolewa? Haya ni
mawazo ambayo nitajaribu kuyaendeleza kwa usaidizi wa mungu.
Kwanza hebu tufikirie kuhusu picha ya ukombozi ilivyochorwa .Neno
ukombozi kwa ujumbe wetu unabeba mawaidha ambayo mtu amepata uhuru.
Tukitaka kuelewa uhuru lazima tuanze na mtu aliyefungiwa. Mfungwa.Waza na mimi
mfungwa kwa sokoni kubwa.Ndani ya hii soko kuna uhai wa manaume ,wanawake
,wavulana na wasichana .Matajiri wako pamoja na makisini .Wanaojulikana wako na
wasiojulikana .Waliona na nguvu na wanyonge. Kwa ukweli ndani ya hiyo soko kuna
uhai wa watu tofauti kutoka mwanzo wa kuumbwa hadi wakati huu.
Kuna watu wanakata picha hili watasema “hii ni ujinga, sijawahi kuwa katika
ufungwa”. Ninakubushwa vile Yesu Kristo alivyosema kwa wale walivyosema hivyo
kwake.Tulisoma majadiliano katika injili ya Yohana mlango wa nane,Yesu alisema kwa
kifungo cha thelaThini na mbili “Mtajua ukweli na ukweli itawaweka huru. Hii
iliwakasirisha wengi ka wasikilizaji wao .Walimjibu vikali kakika kifungo cha thelethini
na tatu.”Sisi ni watoto wa Abrahamu na hatujawahi kuwa katika ufungwa; mbona
unasema watawekwa kuwa huru?” Jibu la Yesu itatuonyesha kifungo tunachoongelea
kifungo cha thelathini na nne alisema “ukweli ukweli ninawaeleza anayefanya dhambi
ni mfungwa”. Kwa maneno haya Yesu alitoa shida kubwa kwa binadamu.
Nashangaa kama umewahi kujifikiria kuwa mtumwa,mfungwa wa
dhambi.Bibilia peke yake inatueleza katika Warumi mlango wa tatu kifungo cha
ishirini na tatu .Kwa wote wametenda dhambi kwa kuwa mbali na utukufu wa mungu.
Tunasoma katika nyakati saba kifungo cha Ishiirini”Hakuna mtu mzuri kwa hii
dunia asiyetenda dhambi “Mungu aliyetuumba ndiye anayeongoza hii dunia.Anaweka
kipimo kwa kupita na kuanguka kwa binadamu . Tukiangalia kwa sheria zake takatifu
tunaona tukisimama mbele zake tukikataliwa .Wengi walichekelea ukweli huu na hali
walijipata wasivyoweza kujieleza ama kutoroka kwa kuhisi vibaya rohoni mwao.Ndiyo
,dhambi imetuleta ndani ya soko ,dhambi inatushika kama wafungwa.
Baada kuna wengi wanapinga, wanasema,”Ninaweza kuwa mimefanya dhambi
maishani mwangu lakini mimi ni mtu mzuri .Hivyo Mungu atanikubali.”Wacheni
niwapatie mfano mzuri itadhibitisha ukweli wa hilo wazo .Mfano umepelekwa mbele
ya jaji kwa kosa ndongo. Anapoanza kusoma hukumu kwako , tafakari unaanza kujidai
kuhusu vile wewe ni mtu mwema . Anaweza kukudhibitisha uzuri wako,lakini hayo
hayamhusu, umevunja sheria na lazima uhukumiwe vilivyo.
Haya yote ni ukweli ukija kwa sheria ya Mungu.Tunasoma kwa Yokubu
2:10”Yule ambaye ataweka sheria na afanye kosa moja yeye ana aibu kwa yote” Kama
tumefanya kosa popote tuko na hatia mbele ya Mungu” Tulisoma pia katika Wagalatia
3:10”Kwa wengi waliokuwa kwa kazi ya sheria yako kwa laana kwa kuwa
imeandikwa.Mlaani ni Yule ambaaye si kwa mambo yoyote imeandikwa kwa kitabu cha
sheria watimize” Tunapoangalia sheria ya Mungu tunaona ukweli wa moyo
wetu.Tunaona kifungo ambayo tumejiletea. Dhambi inatufunga minyororo.
Tunashidwa kujiweka huru .Tunatumia siku zetu kwa kutokuwa na mwelekeo bila
maana ama sababu ya maisha.
Ni aje ujinga kwa matendo ya wengi walio ndani ya soko,wanatumia wakati
wao wakijilinganisha na wengine na kujidai vile wao ni bora Wanaaguka kuona wako
chini ya laani. Mungu sio mheshimu wa watu. Yeye ni jaji wa haki ambaye
atashawishiwa na hali ya mtu. Mambo haya yanaweza badilisha hukumu kwa jaji wa
dunia lakini hayawezi shawishi jaji wa mbinguni Vile ninavyo omba kama uko kwa
kifungo,kwa soko la dhambi utaona hali yako ya kutokuwa na mwelekeo . Ndiyo,hii ni
picha ambayo tunaanza nayo.
Tuendeleeni kwa wazo la pili la ujumbe letu.BEI. Kama wafungwa wote wale
waliokuwa kwa soko la dhambi la kuuza.Kuna mambo mengi yanatupatia tumaini ya
kununua na kuchukua upande wa wale ambao wako hapo. Tusimameni na kusikiliza
wakati hizi ununuzi unapotendeka.
Kwanza ,utajiri unaingia “Nini unaweza kunipa?wengine waliuliza utajiri.
Utajiri unajibu “Nitakupatia nyumba nzuri ,nikuwezesha uwendeshe gari
nzuri.Ninaweza kukupa heshima kwa jamii. Ninaweza kuweka mahali pako na watu
watakaofuata .Hii na mambo mengine yatakugoja kama utajiuza kwangu” Wanadhani
hii itaweka maisha yao ndani ya ufungwa wa sokoni kuwa nzuri kwa hivyo wanasema
kuwa ni maagano.Nitajiuza kwako .Tunaona vile utajiri unapeleka walionunua kwa
mahali tofauti sokoni ilhali haiwezi kuwaweka huru.
Pili somo linaingia “Nini inaweza kulipa “wengine waliuliza Masomo itasema
“Nitakupatia kuelewa kwa mambo ya maajabu ya dunia nitakupatia jadi utajulikana.
Nitakuweka kwa hali ambayo wengi wataongea kukuhusu kwa heshima.Upendekezo
wako utafika mbali vile hauwezi amini. Wengi haraka walijibu”Hiyo ndiyo
natamani.Najiuza kwako .Tena tunatazama wale ambao wamejiuza kwa masomo
wakisonga ndani ya soko la ufugwa.
Tukiendelea kuangalia raha inaingia “Nini unaweza kunipa? Swali linaulizwa
tena ”Nitakupatia raha za dunia Kama hujawai jua .Niko na vitu vingi vya kukupatia
yoyote umeshuhudia unatamani. Ninaweza kukupa pombe, madawa, usherati na
mengine mengi. Ma mia ya kukosa nidhamu itakuwa kwako unavyoendeleza..Hebu
jiuze kwangu na utajua ukweli wa maisha. Adadi ambayo raha huweka ni uwongo
lakini wengine wakitaka hujiuza kwake, tunatazama moyo zao maskini wakiingia
upande mwingine wa sokoni.
Tena dini inaingia kwa ufadhaiko wa moyo ndani ya sokoni,Nini unaweza
kunipa?wanauliza kwa kutosheka na utoleaji wowote Dini inajisimamia na inasema
kwa sauti nyenyekevu “Ninaweza kukuweka mtu mwema kwa jamii majirani wako
watakuchukua mfana mzuri kwa watoto wao Nitakupatia uwongozi kanisani .Utaweza
kujua kuomba na kutenda utamaduni Wengine walisema “Nitajiuza katika dini tena
tunawatazama moyo hizi kavu zilichukulika na kupelekwa mahali tofauti katika sokoni.
Wengine wengi wanakuja na wanakaa ndani ya soko, kila mtu anatembea
ndani ya soko lakini hatoki nje (wamechagua njia tofauti lakini njia hizi zote zitakutana
pamoja .Moja kwa moja wanafika mahali kwa mlango mkubwa umeandikwa kifo.
Mwisho kila mmoja anafikiria “Nitatoka ndani ya soko hili nitayaacha haya
maisha mabaya nyuma. Nini ambayo iko ndani ya mlango imejadiliwa kwa miaka yingi
na wale waliokuwa sokoni .Lakini wote wanatii maanani kile ambacho kiko hapo.
Mbele ya mlango inaonyesha kifo kwa waliokosa matumaini milele na ambao
wanamaliza kwa huzuni wanapata mazao ya kutoheshimu Mungu muumba “Kuna njia
lingine?”Wengi walilia Kwa uchungu, Ghafla sauti inasikikana “Muokoe kwa kutoenda
chini kwa taka: Nimepata ukombozi.”Agubu33:24
Sasa ndani ya soko lingine anakuja kuuliza moya za watu.Yeye si kama wale
waliokuja kitambo mwenye soko wanakasirika kwa kumuona na anakimbia na
minyororo kumfunga .Lakini minyororo ya shetani haina faida mbele ya nguvu ya
Yesu kristo.Yeye ni mshindi mbele za nguvu zote za wadhaifu. Kujitolea kwake ni
tofauti kwa wao wote waliokuwa hapo mbele.Tunaogelea siyo kwa kutosongea katika
sokoni ni kwa uhuru. Tunasoma kwa Wagalatia 4:4, 5. ”Lakini kwenye wakati wote
umefika Mungu alituma mtoto wake aliyezaliwa kutoka kwa mwanamke ilivyowekwa
kwa sheria kuwakomboa wale waliochini ya sheria ndiyo wapate Yesu” Pesa ni bei
inalipwa kwa sababu Yule aliyo kifungoni aweze kukombolewa.
Unaweza kusema ni nini kitu cha dhamana vile mtu huyu anajitolea kuilinda
hilo kitu.Ninashagazwa sana na dhamana ambayo watu huweka kwenye vitu vya
dhamani. Nasikia mamilioni ya dola yanayotumika kwa kupaka rangi .Wakati mwingi
huwezi sema rangi inatakikana kwa nini.Itaonekana kama ni kazi ya mtoto ya kupaka
rangi kwa viatu. Usikose kunielewa,kama mtu ana pesa na anadhamini kazi ya uchoraji
wana uhuru wa kununua.Kwa urahisi nasema kuwa kitu cha dhamana kwa mtu siyo
cha dhamana kwa mtu mwingine.
Zaburi aliongelea kuhusu ukombozi wa moyo.Aliandika kuhusu dhamana
Zaburi 49:7 Akisema hakuna mtu yeyote anaweza kumkomboa ndungu yake ama
apatie Mungu inavyostahili kwa ukombozi wa moyo wao ni ya dhamana na haiwezi
rudi nyuma milele.Kama ukombozi wa moyo ni ya dhamana ilivyondikwa hapo
dhamana ya bei inayolipwa.Tia maanani kwa hayo maneno tena Bibilia inasema
kifungo cha kumi na nane “kwa mengi unayajua umekombolewa na mambo ya ufisadi
kama shahada na dhahabu. Pesa zote duniani hazitoshi moyo wa mtu mmoja.Pesa
unayolipa lazima iwe ya dhamana kubwa. Ni nini bei ya furaha aliyolipwa kwa
ukombozi?Tusome kwa kifungo kinachofuata Petero alisema tumekombolewa siyo
kwa shahada na dhahabu lakini na njia ya Yesu kristo wa kondoo isiyo na alama wala
dosari.Ndiyo damu ya Yesu kristo ilikuwa bei ya dhamana iliyolipwa ndivyo roho zetu
zikombolewe kotoka kifungo cha dhambi Haijawahi kuwa na damu ya Yesu iliyokuwa
takatifu kama yake haikuwa kwa damu ya watu wengine ilikuwa kwa damu ya Mungu.
Paulo alisema hivyo alipokuwa akiwaanga wenyeji wa kanisa kwa Waefeso tulisoma
kwa Matendo ya mitume 20:28”Tia maanani kwako na kwa wanyama wote ambayo
roho mtakatifu imekuwezesha kuomba mbele, kulisha kanisa la Mungu ambayo
alinunua na damu yake Ndiyo damu yake haina dasari.Damu yake ni ya dhamana.Ni
kwa damu yake pekee ndiyo tunaona bei ambayo inatosha kutukombooa . Mapenzi
ya dhati na upendo ilionyeshwa kwetu wakati Yesu aliiacha nyumbani kwake kwa
furaha kwa sababu ya kwenda kwa msalaba mzee kuaga kwa dhambi zetu. Alimwaga
damu yake ndiyo tukombolewe.
Viungo vya maneno vinatoa ukweli kwetu. Tulisoma katika Wakolosai1:14
“Ambaye tutamkomboa katika damu na kusamehewa kwa dhambi” Tulisoma pia
katika Waefeso 1:7 “Ambaye tutamkomboa katika damu na kusamehewa kwa dhambi
kuligana na utajiri na wema “Mbele katika kitabu cha Waheburania 9:12 Wala kwa
damu ya mbuzi na ndama lakini kwa damu yake aliingia ndani katika mahali
takatifu,anapopata ukombozi kwetu milele. Yohana alikuwa na wafuasi wa binguni
katika Ufunuo wa Yohana 5:9 “Na aliimba nyimbo mpya wakisema waliostahili ni
wao waliochukua kitabu kuifungua na kuifunga kwa kuwa wewe ni muuwaji kwa
damu yako na umetukombowa kwa Mungu kwa damu kutoka kwa kila kabila ,lugha,
watu na mataifa.
Kwa kuwa wengi hawaoni umuhimu wa sadaka kwa maisha yao . Sababu ni
rahisi hawajioni kama wenye dhambi .Ni wakati huu unapojiona kama mwenya
dhambi ndiyo unahitaji sadaka Tuko na shuguli nyingi ya kutafuta watu walifungwa na
dhambi sokoni, Tunatumia wakati wetu kujilinganisha na wengine tulivyoongea hapo
mbeleni na tunafikiria tuko vyema Fikiria kama mototo angezaliwa na alelewe ndani
ya gereza. Hiyo tu ndiyo maisha anayoyajua anakaa amefungiwa ndani ya jela.
Hajawai ona jua na kukubalika nje .Huyo mototo atafikiria maisha hayo ni
kawaida Unajua kumwonyesha kuna mengi ya maisha?Fungua mlango na umwachie
huru Nataka kuuliza swali umewahi tolewa ndani ya sokoni? Unaweza uliza “Unajuaje
umewahi pata huru kutoka kwa ufungwa uliokuwa ndani ya soko la dhambi Uhuru
tutoka kwa dhambi kutoka kwa aibu na huru kutoka kwa ufungwa uliokuwa ndani ya
soko la dhambi Kama hujui uhuru ni nini hautakuwa umewachwa nje Kuna bei
imelipwa kulinda uhuru wako na ukitubu kwa Mungu kuna usamehevu na
huru.Deni yako imeshalipwa Mungu amenyosha huruma na rehema kwa sababu vile
Yesu alivyofanya Alimwaga damu yake kutukomboa kutoka nje ya soko Alifufuka
kutoa kifo na sadaka yake ikakubalika na baba aliyejuu. Waliomsikiliza walipata utajiri
kwa rehema yake leo
Hebu sasa tuangalie kuhusu wazo la mwisho “Ununuzi” Tunakombolewa na
damu yake yesu, Mungu anatutuma.Bibilia inatuambia ametununua kutulinda
Tulisoma katika Wahiburania 9:12 Si Kwa damu ya mbuzi wala ndama wala ni Kwa
damu iliyoingia mahali patakatifu ilivyo tukomboa milele hakuna tena nitajiweka Kwa
kujiuza .Nimenunuliwa na Mungu ile iliyonunuliwa lazima aitunze.Paulo aliambia
kanisa kwa Korintho katika Wakorintho 6:19-20 Nini?Ujue kuwa mwili wako ni kanisa
la roho mtakatifu ambayo iko ndani yako ambayo tunayo ya Mungu na siyo yetu. Kwa
umenunuliwa na bei kwa hivyo msifu Bwana kwa mwili na roho ambayo ni ya Mungu
Sina kitu changu tena Mungu aliyejuu ndiye mlinzi wangu Kwa kuwa amenunua sina
haki ya kuangalia kitu ambayo Mungu aniruhusu niangalie sina haki ya kunena ambaye
hataki niseme Sina haki ya kwenda popote ambapo hataki niende Ilani vile Petero
alisema kwa ujumbe katika kifungo cha kumi na sita aliituita watakatifu kwa sababu
yule aliyetununua ni mtakatifu.
Paulo alisema hii Ukweli alivyo andika kwa Tito 2:11-14 kwa rehema ya
Mungu inayoleta uwokovu alitokea kwa watu wote kutufunza tujinyime vitu visivyo
vya Mungu, tamaa ya vitu vya dunia lazima tuwe sawasawa, watenda haki na watakatifu
kwa hii dunia.Tukiangalia kwa matumaini iliyobarikiwa na kuonekana vyema kwa
mungu na mkomboaji Yesu kristo.Ambaye alijipatia kwetu ndivyo atukomboe kotoka
kwa shinda zote na kutuosha kwa kazi nzuri. Najitolea kufanya matendo mazuri
ambayo mungu anayo kwangu ndiyo maana ameninunua Wazaburi walisema Zaburi
107:2 :Wacheni wakombozi wa Mungu waseme ambao amewakomboa kutoka kwenye
mikono ya adui(.131)Nafasi nzuri ambayo tunaweza kunena ni ukombozi wa Mungu
kwa hii dunia ambapo inahitaji sana kusikia wale ambao wako ndani ya ufungwa wa
dhambi wanatakikana kujua uhuru ilivyokuwa kuhusu rehema ya Mungu na damu ya
Yesu kristo.
Ukombozi uliokuwa wetu kupitia Yesu kristo aliyetupatia matumaini lakini
hiyo sio yote kuna matumaini kwa maisha pia Kuna siku kubwa ambapo mungu
atamaliza ile alianza. Paulo aliongea alipoandika kwa waefeso 1:13,14 Kwa yule
anayeamini baada ya hapo atapata ukweli wa injili ya wokovu wetu pia kwa walioamini
wamajazwa na roho mtakatifu iliyoahidiwa.Hii ni mwanzo wa upokeaji hadi ununuzi
wa ukombozi kwa kumsifu Bwana Ni nini anaongea ya kukombolewa?Swali inaulizwa
kwetu kwa kitabu cha Warumi Paulo aliandika Warumi 8:22-23 kuwa tunajua dunia
yote inaendelea kwa uchungu hadi sasa na sio wao tu hadi sisi ambao ni matokeo ya
roho hata sisi wenyewe tunahuzunika ndani yetu tukingojea kukombolewa kwa mwili
wetu.
Ndio Mungu hatakomboa moyo wetu pekee amekomboa pia mwili wetu kwa
matumaini tunaangalia mbele kwa wakati ambapo mwili wetu utabadilika na kuwa
kama mwili wa kumsifu. Ayubu aliangalia kwa ajabu mambo hayo ya ajabu alisema
Ayubu19:25, 26 kwa kuwa najua mkombozi yuko na atasimama hadi siku ya mwisho
ya dunia na hapo baada ya wadudu kuharibu ngozi ya mwili hapo kwa mwili wangu
nitaona mungu.Naomba tumaini iwe uhai kwako.
Ninataka kufunga kwa maneno ya zaburi alipoongea kwa ukombozi wa
Mungu aliandika kwa Zaburi 103:1-4 msifu Mungu na yote yaliyo ndani kwangu,bariki
jina lake moyo wangu na asisahau faida zote ambazo amesamehea; anaponya
magonjwa; ambaye anakomboa maisha yetu kutoka kwa taka ambayo inaonyesha
mapenzi yake na huruma Natumaini moyo zenu zibariki mungu tukiangalia
ukombozi. Vile naomba kama hujakombolewa leo itakuwa siku ambayo utaliita neon
la Mungu na kupata wokuvu.
Baba aliye mbinguni tunaleta ujumbe wetu wa kufunga.Vile roho zetu
zimewekwa kufurahi na kufikiria vile Yesu kristo ametutendea naombea wale
waliosikiliza neno lako ambao hawajawahi kukombolewa.Naomba roho mtakatifu
awashawishi na awaonyeshe mahitaji yao Baba heri wakulilie kwa rehema iliyo kwa
Yesu kristo. Naomba kwa wale wamekombolewa na tufurahie kwa rehema ambayo
imetuonyesha tuweza kueleza walio karibu nasi.Naomba haya kwa jina la Yesu Amina.